Ayubu 38:20
Job 38:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Je, unaweza kuvirudisha kwenye makao yake? Unajua njia za kufika maskani mwake?
Job 38:20 in English
Job 38:20 · Berean Standard Bible
so you can lead it back to its border? Do you know the paths to its home?
Context
18Je, wewe unafahamu ukubwa wa dunia?
Niambie kama unajua haya yote. 19“Njia ya kufika kwenye makao ya nuru ni ipi?
Nako maskani mwa giza ni wapi? 20Je, unaweza kuvirudisha kwenye makao yake?
Unajua njia za kufika maskani mwake? 21Hakika unajua, kwa kuwa ulikuwa umeshazaliwa!
Kwani umeishi miaka mingi! 22“Je, umeshawahi kuingia katika ghala za theluji,
au kuona ghala za mvua ya mawe,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.