Native Bible

Job 38:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Dunia hubadilika kama udongo wa mfinyanzi chini ya lakiri; sura yake hukaa kama ile ya vazi.

Job 38:14 in English

Job 38:14 · Berean Standard Bible

The earth takes shape like clay under a seal; its hills stand out like the folds of a garment.

Context

12“Umepata kuiamrisha asubuhi ipambazuke, au kuyaonyesha mapambazuko mahali pake, 13yapate kushika miisho ya dunia, na kuwakungʼuta waovu waliomo? 14Dunia hubadilika kama udongo wa mfinyanzi chini ya lakiri; sura yake hukaa kama ile ya vazi. 15Waovu huzuiliwa nuru yao, nao mkono wao ulioinuliwa huvunjwa. 16“Je, umepata kufika kwenye chemchemi za bahari? Au kutembea mahali pa ndani pa vilindi?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.