Native Bible

Job 38:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

niliposema, ‘Unaweza kufika mpaka hapa wala si zaidi; hapa ndipo mawimbi yako yenye kiburi yatakapokomea’?

Job 38:11 in English

Job 38:11 · Berean Standard Bible

and I declared: ‘You may come this far, but no farther; here your proud waves must stop’?

Context

9nilipoyafanya mawingu kuwa vazi lake, na kuyafungia katika giza nene, 10nilipoamuru mipaka yake, na kuiweka milango yake na makomeo mahali pake, 11niliposema, ‘Unaweza kufika mpaka hapa wala si zaidi; hapa ndipo mawimbi yako yenye kiburi yatakapokomea’? 12“Umepata kuiamrisha asubuhi ipambazuke, au kuyaonyesha mapambazuko mahali pake, 13yapate kushika miisho ya dunia, na kuwakungʼuta waovu waliomo?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.