Native Bible

Job 38:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Ulikuwa wapi nilipoweka misingi ya dunia? Niambie, kama unafahamu.

Job 38:4 in English

Job 38:4 · Berean Standard Bible

Where were you when I laid the foundations of the earth? Tell Me, if you have understanding.

Context

2“Nani huyu atiaye mashauri yangu giza kwa maneno yasiyo na maarifa? 3Jikaze kama mwanaume; nitakuuliza swali, nawe unijibu. 4“Ulikuwa wapi nilipoweka misingi ya dunia? Niambie, kama unafahamu. 5Ni nani aliyeweka alama vipimo vyake? Hakika wewe unajua! Ni nani aliyenyoosha kamba ya kupimia juu yake? 6Je, misingi yake iliwekwa juu ya nini, au ni nani aliyeweka jiwe la pembeni,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.