Native Bible

Job 38:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Nani huyu atiaye mashauri yangu giza kwa maneno yasiyo na maarifa?

Job 38:2 in English

Job 38:2 · Berean Standard Bible

“Who is this who obscures My counsel by words without knowledge?*

Context

1Kisha Bwana akamjibu Ayubu kutoka upepo wa kisulisuli. Akasema: 2“Nani huyu atiaye mashauri yangu giza kwa maneno yasiyo na maarifa? 3Jikaze kama mwanaume; nitakuuliza swali, nawe unijibu. 4“Ulikuwa wapi nilipoweka misingi ya dunia? Niambie, kama unafahamu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.