Native Bible

Job 38:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kisha Bwana akamjibu Ayubu kutoka upepo wa kisulisuli. Akasema:

Job 38:1 in English

Job 38:1 · Berean Standard Bible

Then the LORD answered Job out of the whirlwind and said:

Context

1Kisha Bwana akamjibu Ayubu kutoka upepo wa kisulisuli. Akasema: 2“Nani huyu atiaye mashauri yangu giza kwa maneno yasiyo na maarifa? 3Jikaze kama mwanaume; nitakuuliza swali, nawe unijibu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.