Native Bible

Job 36:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yeye haondoi macho yake kwa wenye haki; huwaketisha penye viti vya enzi pamoja na wafalme na kuwatukuza milele.

Job 36:7 in English

Job 36:7 · Berean Standard Bible

He does not take His eyes off the righteous, but He enthrones them with kings and exalts them forever.

Context

5“Mungu ni mwenye nguvu, lakini hamdharau mwanadamu; ni mwenye nguvu, naye ni thabiti katika shauri lake. 6Hawaachi waovu waendelee kuishi, bali huwapa walioteswa haki yao. 7Yeye haondoi macho yake kwa wenye haki; huwaketisha penye viti vya enzi pamoja na wafalme na kuwatukuza milele. 8Lakini ikiwa watu wamefungwa kwenye minyororo, wakiwa wameshikiliwa na kamba za mateso, 9huwaonyesha yale waliyoyatenda, kwamba wametenda dhambi kwa majivuno.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.