Ayubu 36:6
Job 36:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hawaachi waovu waendelee kuishi, bali huwapa walioteswa haki yao.
Job 36:6 in English
Job 36:6 · Berean Standard Bible
He does not keep the wicked alive, but He grants justice to the afflicted.
Context
4Uwe na hakika kwamba maneno yangu si ya uongo;
mmoja aliye mkamilifu katika maarifa yuko pamoja na wewe. 5“Mungu ni mwenye nguvu, lakini hamdharau mwanadamu;
ni mwenye nguvu, naye ni thabiti katika shauri lake. 6Hawaachi waovu waendelee kuishi,
bali huwapa walioteswa haki yao. 7Yeye haondoi macho yake kwa wenye haki;
huwaketisha penye viti vya enzi pamoja na wafalme
na kuwatukuza milele. 8Lakini ikiwa watu wamefungwa kwenye minyororo,
wakiwa wameshikiliwa na kamba za mateso,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.