Ayubu 36:8
Job 36:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini ikiwa watu wamefungwa kwenye minyororo, wakiwa wameshikiliwa na kamba za mateso,
Job 36:8 in English
Job 36:8 · Berean Standard Bible
And if men are bound with chains, caught in cords of affliction,
Context
6Hawaachi waovu waendelee kuishi,
bali huwapa walioteswa haki yao. 7Yeye haondoi macho yake kwa wenye haki;
huwaketisha penye viti vya enzi pamoja na wafalme
na kuwatukuza milele. 8Lakini ikiwa watu wamefungwa kwenye minyororo,
wakiwa wameshikiliwa na kamba za mateso, 9huwaonyesha yale waliyoyatenda,
kwamba wametenda dhambi kwa majivuno. 10Huwafanya wao kusikia maonyo,
na huwaagiza kutubu uovu wao.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.