Native Bible

Job 36:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

huwaonyesha yale waliyoyatenda, kwamba wametenda dhambi kwa majivuno.

Job 36:9 in English

Job 36:9 · Berean Standard Bible

then He tells them their deeds and how arrogantly they have transgressed.

Context

7Yeye haondoi macho yake kwa wenye haki; huwaketisha penye viti vya enzi pamoja na wafalme na kuwatukuza milele. 8Lakini ikiwa watu wamefungwa kwenye minyororo, wakiwa wameshikiliwa na kamba za mateso, 9huwaonyesha yale waliyoyatenda, kwamba wametenda dhambi kwa majivuno. 10Huwafanya wao kusikia maonyo, na huwaagiza kutubu uovu wao. 11Kama wakitii na kumtumikia, wataishi siku zao zilizobaki katika mafanikio, na miaka yao katika utoshelevu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.