Native Bible

Job 36:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kama wakitii na kumtumikia, wataishi siku zao zilizobaki katika mafanikio, na miaka yao katika utoshelevu.

Job 36:11 in English

Job 36:11 · Berean Standard Bible

If they obey and serve Him, then they end their days in prosperity and their years in happiness.

Context

9huwaonyesha yale waliyoyatenda, kwamba wametenda dhambi kwa majivuno. 10Huwafanya wao kusikia maonyo, na huwaagiza kutubu uovu wao. 11Kama wakitii na kumtumikia, wataishi siku zao zilizobaki katika mafanikio, na miaka yao katika utoshelevu. 12Lakini wasiposikiliza, wataangamia kwa upanga, nao watakufa pasipo maarifa. 13“Wasiomcha Mungu moyoni mwao huficha chuki; hata anapowafunga, hawamwombi msaada.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.