Native Bible

Job 36:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Wasiomcha Mungu moyoni mwao huficha chuki; hata anapowafunga, hawamwombi msaada.

Job 36:13 in English

Job 36:13 · Berean Standard Bible

The godless in heart harbor resentment; even when He binds them, they do not cry for help.

Context

11Kama wakitii na kumtumikia, wataishi siku zao zilizobaki katika mafanikio, na miaka yao katika utoshelevu. 12Lakini wasiposikiliza, wataangamia kwa upanga, nao watakufa pasipo maarifa. 13“Wasiomcha Mungu moyoni mwao huficha chuki; hata anapowafunga, hawamwombi msaada. 14Wanakufa wangali vijana, miongoni mwa wanaume hanithi wa mahali pa kuabudia miungu. 15Bali wao wanaoteseka huwaokoa katika mateso yao, na kuzungumza nao katika dhiki zao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.