Ayubu 36:15
Job 36:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Bali wao wanaoteseka huwaokoa katika mateso yao, na kuzungumza nao katika dhiki zao.
Job 36:15 in English
Job 36:15 · Berean Standard Bible
God rescues the afflicted by their affliction * and opens their ears in oppression.
Context
13“Wasiomcha Mungu moyoni mwao huficha chuki;
hata anapowafunga, hawamwombi msaada. 14Wanakufa wangali vijana,
miongoni mwa wanaume hanithi wa mahali pa kuabudia miungu. 15Bali wao wanaoteseka huwaokoa katika mateso yao,
na kuzungumza nao katika dhiki zao. 16“Yeye anakubembeleza utoke katika mataya ya dhiki,
ili kukuweka mahali palipo na nafasi mbali na kizuizi,
hadi kwenye meza yako ya faraja iliyojaa vyakula vizuri. 17Lakini sasa umelemewa na hukumu kwa ajili ya uovu;
hukumu na haki vimekukamata.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.