Ayubu 36:12
Job 36:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini wasiposikiliza, wataangamia kwa upanga, nao watakufa pasipo maarifa.
Job 36:12 in English
Job 36:12 · Berean Standard Bible
But if they do not obey, then they perish by the sword * and die without knowledge.
Context
10Huwafanya wao kusikia maonyo,
na huwaagiza kutubu uovu wao. 11Kama wakitii na kumtumikia,
wataishi siku zao zilizobaki katika mafanikio,
na miaka yao katika utoshelevu. 12Lakini wasiposikiliza,
wataangamia kwa upanga,
nao watakufa pasipo maarifa. 13“Wasiomcha Mungu moyoni mwao huficha chuki;
hata anapowafunga, hawamwombi msaada. 14Wanakufa wangali vijana,
miongoni mwa wanaume hanithi wa mahali pa kuabudia miungu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.