Native Bible

Job 36:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Huwafanya wao kusikia maonyo, na huwaagiza kutubu uovu wao.

Job 36:10 in English

Job 36:10 · Berean Standard Bible

He opens their ears to correction and commands that they turn from iniquity.

Context

8Lakini ikiwa watu wamefungwa kwenye minyororo, wakiwa wameshikiliwa na kamba za mateso, 9huwaonyesha yale waliyoyatenda, kwamba wametenda dhambi kwa majivuno. 10Huwafanya wao kusikia maonyo, na huwaagiza kutubu uovu wao. 11Kama wakitii na kumtumikia, wataishi siku zao zilizobaki katika mafanikio, na miaka yao katika utoshelevu. 12Lakini wasiposikiliza, wataangamia kwa upanga, nao watakufa pasipo maarifa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.