Native Bible

Job 36:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Mungu ni mwenye nguvu, lakini hamdharau mwanadamu; ni mwenye nguvu, naye ni thabiti katika shauri lake.

Job 36:5 in English

Job 36:5 · Berean Standard Bible

Indeed, God is mighty, but He despises no one; He is mighty in strength of understanding.

Context

3Ninayapata maarifa yangu kutoka mbali, nami nitamhesabia haki Muumba wangu. 4Uwe na hakika kwamba maneno yangu si ya uongo; mmoja aliye mkamilifu katika maarifa yuko pamoja na wewe. 5“Mungu ni mwenye nguvu, lakini hamdharau mwanadamu; ni mwenye nguvu, naye ni thabiti katika shauri lake. 6Hawaachi waovu waendelee kuishi, bali huwapa walioteswa haki yao. 7Yeye haondoi macho yake kwa wenye haki; huwaketisha penye viti vya enzi pamoja na wafalme na kuwatukuza milele.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.