Native Bible

Job 36:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

mawingu huangusha chini maji yake, nayo mvua nyingi huwanyeshea wanadamu.

Job 36:28 in English

Job 36:28 · Berean Standard Bible

which the clouds pour out and shower abundantly on mankind.

Context

26Tazama jinsi Mungu alivyo mkuu, kupita ufahamu wetu! Hesabu ya miaka yake haitafutiki. 27“Yeye huvuta juu matone ya maji, ayachujayo kama mvua kutoka kwenye vijito; 28mawingu huangusha chini maji yake, nayo mvua nyingi huwanyeshea wanadamu. 29Ni nani ajuaye jinsi ayatandazavyo mawingu, jinsi angurumavyo kutoka hemani mwake. 30Tazama jinsi anavyotandaza umeme wa radi kumzunguka, naye huvifunika vilindi vya bahari.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.