Ayubu 36:30
Job 36:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Tazama jinsi anavyotandaza umeme wa radi kumzunguka, naye huvifunika vilindi vya bahari.
Job 36:30 in English
Job 36:30 · Berean Standard Bible
See how He scatters His lightning around Him and covers the depths of the sea.
Context
28mawingu huangusha chini maji yake,
nayo mvua nyingi huwanyeshea wanadamu. 29Ni nani ajuaye jinsi ayatandazavyo mawingu,
jinsi angurumavyo kutoka hemani mwake. 30Tazama jinsi anavyotandaza umeme wa radi kumzunguka,
naye huvifunika vilindi vya bahari. 31Hivi ndivyo atawalavyo mataifa,
na kuwapa chakula kwa wingi. 32Huujaza mkono wake kwa umeme wa radi,
na kuuagiza kulenga shabaha yake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.