Native Bible

Job 36:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ni nani ajuaye jinsi ayatandazavyo mawingu, jinsi angurumavyo kutoka hemani mwake.

Job 36:29 in English

Job 36:29 · Berean Standard Bible

Furthermore, who can understand how the clouds spread out, how the thunder roars from His pavilion?

Context

27“Yeye huvuta juu matone ya maji, ayachujayo kama mvua kutoka kwenye vijito; 28mawingu huangusha chini maji yake, nayo mvua nyingi huwanyeshea wanadamu. 29Ni nani ajuaye jinsi ayatandazavyo mawingu, jinsi angurumavyo kutoka hemani mwake. 30Tazama jinsi anavyotandaza umeme wa radi kumzunguka, naye huvifunika vilindi vya bahari. 31Hivi ndivyo atawalavyo mataifa, na kuwapa chakula kwa wingi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.