Ayubu 36:27
Job 36:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Yeye huvuta juu matone ya maji, ayachujayo kama mvua kutoka kwenye vijito;
Job 36:27 in English
Job 36:27 · Berean Standard Bible
For He draws up drops of water which distill the rain from the mist,
Context
25Wanadamu wote wameiona;
watu wanaikazia macho kwa mbali. 26Tazama jinsi Mungu alivyo mkuu,
kupita ufahamu wetu!
Hesabu ya miaka yake haitafutiki. 27“Yeye huvuta juu matone ya maji,
ayachujayo kama mvua kutoka kwenye vijito; 28mawingu huangusha chini maji yake,
nayo mvua nyingi huwanyeshea wanadamu. 29Ni nani ajuaye jinsi ayatandazavyo mawingu,
jinsi angurumavyo kutoka hemani mwake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.