Native Bible

Job 36:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Tazama jinsi Mungu alivyo mkuu, kupita ufahamu wetu! Hesabu ya miaka yake haitafutiki.

Job 36:26 in English

Job 36:26 · Berean Standard Bible

Indeed, God is great—beyond our knowledge; the number of His years is unsearchable.

Context

24Kumbuka kuzitukuza kazi zake, ambazo watu wamezisifu katika wimbo. 25Wanadamu wote wameiona; watu wanaikazia macho kwa mbali. 26Tazama jinsi Mungu alivyo mkuu, kupita ufahamu wetu! Hesabu ya miaka yake haitafutiki. 27“Yeye huvuta juu matone ya maji, ayachujayo kama mvua kutoka kwenye vijito; 28mawingu huangusha chini maji yake, nayo mvua nyingi huwanyeshea wanadamu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.