Ayubu 36:25
Job 36:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wanadamu wote wameiona; watu wanaikazia macho kwa mbali.
Job 36:25 in English
Job 36:25 · Berean Standard Bible
All mankind has seen it; men behold it from afar.
Context
23Ni nani aliyemwelekeza katika njia zake,
au kumwambia, ‘Wewe umetenda yasiyo sawa’? 24Kumbuka kuzitukuza kazi zake,
ambazo watu wamezisifu katika wimbo. 25Wanadamu wote wameiona;
watu wanaikazia macho kwa mbali. 26Tazama jinsi Mungu alivyo mkuu,
kupita ufahamu wetu!
Hesabu ya miaka yake haitafutiki. 27“Yeye huvuta juu matone ya maji,
ayachujayo kama mvua kutoka kwenye vijito;
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.