Native Bible

Job 36:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ni nani aliyemwelekeza katika njia zake, au kumwambia, ‘Wewe umetenda yasiyo sawa’?

Job 36:23 in English

Job 36:23 · Berean Standard Bible

Who has appointed His way for Him, or told Him, ‘You have done wrong’?

Context

21Jihadhari usigeukie uovu, ambao unaupenda zaidi kuliko mateso. 22“Mungu ametukuzwa katika nguvu zake. Ni nani aliye mwalimu kama yeye? 23Ni nani aliyemwelekeza katika njia zake, au kumwambia, ‘Wewe umetenda yasiyo sawa’? 24Kumbuka kuzitukuza kazi zake, ambazo watu wamezisifu katika wimbo. 25Wanadamu wote wameiona; watu wanaikazia macho kwa mbali.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.