Native Bible

Job 36:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kumbuka kuzitukuza kazi zake, ambazo watu wamezisifu katika wimbo.

Job 36:24 in English

Job 36:24 · Berean Standard Bible

Remember to magnify His work, which men have praised in song.

Context

22“Mungu ametukuzwa katika nguvu zake. Ni nani aliye mwalimu kama yeye? 23Ni nani aliyemwelekeza katika njia zake, au kumwambia, ‘Wewe umetenda yasiyo sawa’? 24Kumbuka kuzitukuza kazi zake, ambazo watu wamezisifu katika wimbo. 25Wanadamu wote wameiona; watu wanaikazia macho kwa mbali. 26Tazama jinsi Mungu alivyo mkuu, kupita ufahamu wetu! Hesabu ya miaka yake haitafutiki.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.