Ayubu 36:22
Job 36:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Mungu ametukuzwa katika nguvu zake. Ni nani aliye mwalimu kama yeye?
Job 36:22 in English
Job 36:22 · Berean Standard Bible
Behold, God is exalted in His power. Who is a teacher like Him?
Context
20Usiutamani usiku uje,
ili uwaburute watu mbali na nyumba zao. 21Jihadhari usigeukie uovu,
ambao unaupenda zaidi kuliko mateso. 22“Mungu ametukuzwa katika nguvu zake.
Ni nani aliye mwalimu kama yeye? 23Ni nani aliyemwelekeza katika njia zake,
au kumwambia, ‘Wewe umetenda yasiyo sawa’? 24Kumbuka kuzitukuza kazi zake,
ambazo watu wamezisifu katika wimbo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.