Native Bible

Job 36:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Usiutamani usiku uje, ili uwaburute watu mbali na nyumba zao.

Job 36:20 in English

Job 36:20 · Berean Standard Bible

Do not long for the night, when people vanish from their homes.

Context

18Uwe mwangalifu ili yeyote asikushawishi kwa utajiri; usipotoshwe kwa fungu kubwa la rushwa. 19Je, utajiri wako hata nguvu zako nyingi vinaweza kukusaidia usiingie kwenye dhiki? 20Usiutamani usiku uje, ili uwaburute watu mbali na nyumba zao. 21Jihadhari usigeukie uovu, ambao unaupenda zaidi kuliko mateso. 22“Mungu ametukuzwa katika nguvu zake. Ni nani aliye mwalimu kama yeye?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.