Ayubu 36:19
Job 36:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Je, utajiri wako hata nguvu zako nyingi vinaweza kukusaidia usiingie kwenye dhiki?
Job 36:19 in English
Job 36:19 · Berean Standard Bible
Can your wealth * or all your mighty effort keep you from distress?
Context
17Lakini sasa umelemewa na hukumu kwa ajili ya uovu;
hukumu na haki vimekukamata. 18Uwe mwangalifu ili yeyote asikushawishi kwa utajiri;
usipotoshwe kwa fungu kubwa la rushwa. 19Je, utajiri wako hata nguvu zako nyingi
vinaweza kukusaidia usiingie kwenye dhiki? 20Usiutamani usiku uje,
ili uwaburute watu mbali na nyumba zao. 21Jihadhari usigeukie uovu,
ambao unaupenda zaidi kuliko mateso.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.