Native Bible

Job 36:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Uwe mwangalifu ili yeyote asikushawishi kwa utajiri; usipotoshwe kwa fungu kubwa la rushwa.

Job 36:18 in English

Job 36:18 · Berean Standard Bible

Be careful that no one lures you with riches; do not let a large bribe lead you astray.

Context

16“Yeye anakubembeleza utoke katika mataya ya dhiki, ili kukuweka mahali palipo na nafasi mbali na kizuizi, hadi kwenye meza yako ya faraja iliyojaa vyakula vizuri. 17Lakini sasa umelemewa na hukumu kwa ajili ya uovu; hukumu na haki vimekukamata. 18Uwe mwangalifu ili yeyote asikushawishi kwa utajiri; usipotoshwe kwa fungu kubwa la rushwa. 19Je, utajiri wako hata nguvu zako nyingi vinaweza kukusaidia usiingie kwenye dhiki? 20Usiutamani usiku uje, ili uwaburute watu mbali na nyumba zao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.