Native Bible

Job 36:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Jihadhari usigeukie uovu, ambao unaupenda zaidi kuliko mateso.

Job 36:21 in English

Job 36:21 · Berean Standard Bible

Be careful not to turn to iniquity, for this you have preferred to affliction.

Context

19Je, utajiri wako hata nguvu zako nyingi vinaweza kukusaidia usiingie kwenye dhiki? 20Usiutamani usiku uje, ili uwaburute watu mbali na nyumba zao. 21Jihadhari usigeukie uovu, ambao unaupenda zaidi kuliko mateso. 22“Mungu ametukuzwa katika nguvu zake. Ni nani aliye mwalimu kama yeye? 23Ni nani aliyemwelekeza katika njia zake, au kumwambia, ‘Wewe umetenda yasiyo sawa’?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.