Native Bible

Job 36:31 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hivi ndivyo atawalavyo mataifa, na kuwapa chakula kwa wingi.

Job 36:31 in English

Job 36:31 · Berean Standard Bible

For by these He judges * the nations and provides food in abundance.

Context

29Ni nani ajuaye jinsi ayatandazavyo mawingu, jinsi angurumavyo kutoka hemani mwake. 30Tazama jinsi anavyotandaza umeme wa radi kumzunguka, naye huvifunika vilindi vya bahari. 31Hivi ndivyo atawalavyo mataifa, na kuwapa chakula kwa wingi. 32Huujaza mkono wake kwa umeme wa radi, na kuuagiza kulenga shabaha yake. 33Ngurumo zake hutangaza dhoruba inayokuja; hata mifugo hujulisha kukaribia kwake.*

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.