Native Bible

Job 34:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hakuna mahali penye giza nene, wala uvuli mkubwa, ambapo watenda mabaya wanaweza kujificha.

Job 34:22 in English

Job 34:22 · Berean Standard Bible

There is no darkness or deep shadow where the workers of iniquity can hide.

Context

20Wanakufa ghafula, usiku wa manane; watu wanatikiswa nao hupita; wenye nguvu huondolewa bila mkono wa mwanadamu. 21“Macho yake yanazitazama njia za wanadamu; anaona kila hatua yao. 22Hakuna mahali penye giza nene, wala uvuli mkubwa, ambapo watenda mabaya wanaweza kujificha. 23Mungu hana haja ya kumchunguza mtu sana, ili apate kuja mbele zake kwa hukumu. 24Bila kuuliza huwapondaponda wenye nguvu nyingi na kuwaweka wengine mahali pao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.