Ayubu 34:20
Job 34:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wanakufa ghafula, usiku wa manane; watu wanatikiswa nao hupita; wenye nguvu huondolewa bila mkono wa mwanadamu.
Job 34:20 in English
Job 34:20 · Berean Standard Bible
They die in an instant, in the middle of the night. The people convulse and pass away; the mighty are removed without human hand.
Context
18Je, si ni yeye awaambiaye wafalme, ‘Ninyi hamfai kitu,’
nao watu mashuhuri, ‘Ninyi ni waovu,’ 19yeye asiyependelea wakuu,
wala haonyeshi upendeleo kwa matajiri kuliko maskini,
kwa kuwa wote ni kazi ya mikono yake? 20Wanakufa ghafula, usiku wa manane;
watu wanatikiswa nao hupita;
wenye nguvu huondolewa
bila mkono wa mwanadamu. 21“Macho yake yanazitazama njia za wanadamu;
anaona kila hatua yao. 22Hakuna mahali penye giza nene, wala uvuli mkubwa,
ambapo watenda mabaya wanaweza kujificha.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.