Native Bible

Job 34:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Macho yake yanazitazama njia za wanadamu; anaona kila hatua yao.

Job 34:21 in English

Job 34:21 · Berean Standard Bible

For His eyes are on the ways of a man, and He sees his every step.

Context

19yeye asiyependelea wakuu, wala haonyeshi upendeleo kwa matajiri kuliko maskini, kwa kuwa wote ni kazi ya mikono yake? 20Wanakufa ghafula, usiku wa manane; watu wanatikiswa nao hupita; wenye nguvu huondolewa bila mkono wa mwanadamu. 21“Macho yake yanazitazama njia za wanadamu; anaona kila hatua yao. 22Hakuna mahali penye giza nene, wala uvuli mkubwa, ambapo watenda mabaya wanaweza kujificha. 23Mungu hana haja ya kumchunguza mtu sana, ili apate kuja mbele zake kwa hukumu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.