Native Bible

Job 34:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mungu hana haja ya kumchunguza mtu sana, ili apate kuja mbele zake kwa hukumu.

Job 34:23 in English

Job 34:23 · Berean Standard Bible

For God need not examine a man further or have him approach for judgment.

Context

21“Macho yake yanazitazama njia za wanadamu; anaona kila hatua yao. 22Hakuna mahali penye giza nene, wala uvuli mkubwa, ambapo watenda mabaya wanaweza kujificha. 23Mungu hana haja ya kumchunguza mtu sana, ili apate kuja mbele zake kwa hukumu. 24Bila kuuliza huwapondaponda wenye nguvu nyingi na kuwaweka wengine mahali pao. 25Kwa sababu huyaangalia matendo yao yote, huwaondoa usiku, nao wakaangamia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.