Native Bible

Job 34:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa sababu huyaangalia matendo yao yote, huwaondoa usiku, nao wakaangamia.

Job 34:25 in English

Job 34:25 · Berean Standard Bible

Therefore, He recognizes their deeds; He overthrows them in the night and they are crushed.

Context

23Mungu hana haja ya kumchunguza mtu sana, ili apate kuja mbele zake kwa hukumu. 24Bila kuuliza huwapondaponda wenye nguvu nyingi na kuwaweka wengine mahali pao. 25Kwa sababu huyaangalia matendo yao yote, huwaondoa usiku, nao wakaangamia. 26Anawaadhibu kwa ajili ya uovu wao mahali ambapo kila mmoja ataweza kuwaona, 27kwa sababu wameacha kumfuata Mungu, nao hawakuiheshimu njia yake hata moja.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.