Native Bible

Job 34:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bila kuuliza huwapondaponda wenye nguvu nyingi na kuwaweka wengine mahali pao.

Job 34:24 in English

Job 34:24 · Berean Standard Bible

He shatters the mighty without inquiry and sets up others in their place.

Context

22Hakuna mahali penye giza nene, wala uvuli mkubwa, ambapo watenda mabaya wanaweza kujificha. 23Mungu hana haja ya kumchunguza mtu sana, ili apate kuja mbele zake kwa hukumu. 24Bila kuuliza huwapondaponda wenye nguvu nyingi na kuwaweka wengine mahali pao. 25Kwa sababu huyaangalia matendo yao yote, huwaondoa usiku, nao wakaangamia. 26Anawaadhibu kwa ajili ya uovu wao mahali ambapo kila mmoja ataweza kuwaona,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.