Ayubu 34:26
Job 34:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Anawaadhibu kwa ajili ya uovu wao mahali ambapo kila mmoja ataweza kuwaona,
Job 34:26 in English
Job 34:26 · Berean Standard Bible
He strikes them for their wickedness in full view,
Context
24Bila kuuliza huwapondaponda wenye nguvu nyingi
na kuwaweka wengine mahali pao. 25Kwa sababu huyaangalia matendo yao yote,
huwaondoa usiku, nao wakaangamia. 26Anawaadhibu kwa ajili ya uovu wao
mahali ambapo kila mmoja ataweza kuwaona, 27kwa sababu wameacha kumfuata Mungu,
nao hawakuiheshimu njia yake hata moja. 28Wamesababisha kilio cha maskini kifike mbele zake,
hivyo akasikia kilio cha wahitaji.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.