Native Bible

Job 34:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wamesababisha kilio cha maskini kifike mbele zake, hivyo akasikia kilio cha wahitaji.

Job 34:28 in English

Job 34:28 · Berean Standard Bible

They caused the cry of the poor to come before Him, and He heard the outcry of the afflicted.

Context

26Anawaadhibu kwa ajili ya uovu wao mahali ambapo kila mmoja ataweza kuwaona, 27kwa sababu wameacha kumfuata Mungu, nao hawakuiheshimu njia yake hata moja. 28Wamesababisha kilio cha maskini kifike mbele zake, hivyo akasikia kilio cha wahitaji. 29Lakini kama akinyamaza kimya, ni nani awezaye kumhukumu? Kama akiuficha uso wake, ni nani awezaye kumwona? Ikiwa ni taifa au mtu mmoja, kwake ni sawa, 30ili kumzuia mtu mwovu kutawala, au wale ambao huwategea watu mitego.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.