Native Bible

Job 34:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

ili kumzuia mtu mwovu kutawala, au wale ambao huwategea watu mitego.

Job 34:30 in English

Job 34:30 · Berean Standard Bible

that godless men should not rule or lay snares for the people.

Context

28Wamesababisha kilio cha maskini kifike mbele zake, hivyo akasikia kilio cha wahitaji. 29Lakini kama akinyamaza kimya, ni nani awezaye kumhukumu? Kama akiuficha uso wake, ni nani awezaye kumwona? Ikiwa ni taifa au mtu mmoja, kwake ni sawa, 30ili kumzuia mtu mwovu kutawala, au wale ambao huwategea watu mitego. 31“Kama mwanadamu akimwambia Mungu, ‘Nimekosa lakini sitatenda dhambi tena. 32Nifundishe nisichoweza kuona; kama nimekukosea, sitafanya hivyo tena.’

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.