Ayubu 34:31
Job 34:31 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Kama mwanadamu akimwambia Mungu, ‘Nimekosa lakini sitatenda dhambi tena.
Job 34:31 in English
Job 34:31 · Berean Standard Bible
Suppose someone says to God, ‘I have endured my punishment; I will offend no more.
Context
29Lakini kama akinyamaza kimya,
ni nani awezaye kumhukumu?
Kama akiuficha uso wake,
ni nani awezaye kumwona?
Ikiwa ni taifa au mtu mmoja, kwake ni sawa, 30ili kumzuia mtu mwovu kutawala,
au wale ambao huwategea watu mitego. 31“Kama mwanadamu akimwambia Mungu,
‘Nimekosa lakini sitatenda dhambi tena. 32Nifundishe nisichoweza kuona;
kama nimekukosea, sitafanya hivyo tena.’ 33Je basi, Mungu atakulipa kwa masharti yako,
wakati wewe umekataa kutubu?
Yakupasa wewe uamue, wala si mimi;
sasa niambie lile ulijualo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.