Native Bible

Job 34:33 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Je basi, Mungu atakulipa kwa masharti yako, wakati wewe umekataa kutubu? Yakupasa wewe uamue, wala si mimi; sasa niambie lile ulijualo.

Job 34:33 in English

Job 34:33 · Berean Standard Bible

Should God repay you on your own terms when you have disavowed His? You must choose, not I; so tell me what you know.

Context

31“Kama mwanadamu akimwambia Mungu, ‘Nimekosa lakini sitatenda dhambi tena. 32Nifundishe nisichoweza kuona; kama nimekukosea, sitafanya hivyo tena.’ 33Je basi, Mungu atakulipa kwa masharti yako, wakati wewe umekataa kutubu? Yakupasa wewe uamue, wala si mimi; sasa niambie lile ulijualo. 34“Wanadamu wenye ufahamu husema, wenye hekima wanaonisikia huniambia, 35‘Ayubu huongea bila maarifa; maneno yake hayana busara.’

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.