Ayubu 34:35
Job 34:35 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
‘Ayubu huongea bila maarifa; maneno yake hayana busara.’
Job 34:35 in English
Job 34:35 · Berean Standard Bible
‘Job speaks without knowledge; his words lack insight.’
Context
33Je basi, Mungu atakulipa kwa masharti yako,
wakati wewe umekataa kutubu?
Yakupasa wewe uamue, wala si mimi;
sasa niambie lile ulijualo. 34“Wanadamu wenye ufahamu husema,
wenye hekima wanaonisikia huniambia, 35‘Ayubu huongea bila maarifa;
maneno yake hayana busara.’ 36Laiti Ayubu angejaribiwa hadi kikomo cha mwisho,
kwa sababu anajibu kama mtu mwovu! 37Kwenye dhambi yake huongeza uasi;
kwa dharau hupiga makofi miongoni mwetu,
na kuzidisha maneno yake dhidi ya Mungu.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.