Native Bible

Job 34:37 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwenye dhambi yake huongeza uasi; kwa dharau hupiga makofi miongoni mwetu, na kuzidisha maneno yake dhidi ya Mungu.”

Job 34:37 in English

Job 34:37 · Berean Standard Bible

For he adds rebellion to his sin; he claps his hands among us and multiplies his words against God.”

Context

35‘Ayubu huongea bila maarifa; maneno yake hayana busara.’ 36Laiti Ayubu angejaribiwa hadi kikomo cha mwisho, kwa sababu anajibu kama mtu mwovu! 37Kwenye dhambi yake huongeza uasi; kwa dharau hupiga makofi miongoni mwetu, na kuzidisha maneno yake dhidi ya Mungu.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.