Native Bible

Job 34:32 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nifundishe nisichoweza kuona; kama nimekukosea, sitafanya hivyo tena.’

Job 34:32 in English

Job 34:32 · Berean Standard Bible

Teach me what I cannot see; if I have done wrong, I will not do it again.’

Context

30ili kumzuia mtu mwovu kutawala, au wale ambao huwategea watu mitego. 31“Kama mwanadamu akimwambia Mungu, ‘Nimekosa lakini sitatenda dhambi tena. 32Nifundishe nisichoweza kuona; kama nimekukosea, sitafanya hivyo tena.’ 33Je basi, Mungu atakulipa kwa masharti yako, wakati wewe umekataa kutubu? Yakupasa wewe uamue, wala si mimi; sasa niambie lile ulijualo. 34“Wanadamu wenye ufahamu husema, wenye hekima wanaonisikia huniambia,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.