Native Bible

Job 34:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kwa sababu wameacha kumfuata Mungu, nao hawakuiheshimu njia yake hata moja.

Job 34:27 in English

Job 34:27 · Berean Standard Bible

because they turned aside from Him and had no regard for any of His ways.

Context

25Kwa sababu huyaangalia matendo yao yote, huwaondoa usiku, nao wakaangamia. 26Anawaadhibu kwa ajili ya uovu wao mahali ambapo kila mmoja ataweza kuwaona, 27kwa sababu wameacha kumfuata Mungu, nao hawakuiheshimu njia yake hata moja. 28Wamesababisha kilio cha maskini kifike mbele zake, hivyo akasikia kilio cha wahitaji. 29Lakini kama akinyamaza kimya, ni nani awezaye kumhukumu? Kama akiuficha uso wake, ni nani awezaye kumwona? Ikiwa ni taifa au mtu mmoja, kwake ni sawa,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.