Native Bible

Job 33:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

ili aigeuze nafsi yake toka shimoni, ili nuru ya uzima imwangazie.

Job 33:30 in English

Job 33:30 · Berean Standard Bible

to bring back his soul from the Pit, that he may be enlightened with the light of life.

Context

28Alinikomboa nafsi yangu nisitumbukie shimoni, nami nitaishi ili kuufurahia mwanga.’ 29“Mungu hufanya haya yote kwa mwanadamu; mara mbili hata mara tatu, 30ili aigeuze nafsi yake toka shimoni, ili nuru ya uzima imwangazie. 31“Ayubu, zingatia, nisikilize mimi; nyamaza, nami nitanena. 32Kama unalo lolote la kusema, unijibu; sema, kwa maana ninataka uonekane huna hatia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.