Native Bible

Job 33:32 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kama unalo lolote la kusema, unijibu; sema, kwa maana ninataka uonekane huna hatia.

Job 33:32 in English

Job 33:32 · Berean Standard Bible

But if you have something to say, answer me; speak up, for I would like to vindicate you.

Context

30ili aigeuze nafsi yake toka shimoni, ili nuru ya uzima imwangazie. 31“Ayubu, zingatia, nisikilize mimi; nyamaza, nami nitanena. 32Kama unalo lolote la kusema, unijibu; sema, kwa maana ninataka uonekane huna hatia. 33Lakini kama huna la kusema, basi nisikilize mimi; nyamaza, nami nitakufundisha hekima.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.