Native Bible

Job 33:31 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Ayubu, zingatia, nisikilize mimi; nyamaza, nami nitanena.

Job 33:31 in English

Job 33:31 · Berean Standard Bible

Pay attention, Job, and listen to me; be silent, and I will speak.

Context

29“Mungu hufanya haya yote kwa mwanadamu; mara mbili hata mara tatu, 30ili aigeuze nafsi yake toka shimoni, ili nuru ya uzima imwangazie. 31“Ayubu, zingatia, nisikilize mimi; nyamaza, nami nitanena. 32Kama unalo lolote la kusema, unijibu; sema, kwa maana ninataka uonekane huna hatia. 33Lakini kama huna la kusema, basi nisikilize mimi; nyamaza, nami nitakufundisha hekima.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.