Native Bible

Job 33:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Mungu hufanya haya yote kwa mwanadamu; mara mbili hata mara tatu,

Job 33:29 in English

Job 33:29 · Berean Standard Bible

Behold, all these things God does to a man, two or even three times,

Context

27Ndipo huja mbele za watu na kusema, ‘Nilitenda dhambi na kupotosha kilichokuwa haki, lakini sikuadhibiwa kama nilivyostahili. 28Alinikomboa nafsi yangu nisitumbukie shimoni, nami nitaishi ili kuufurahia mwanga.’ 29“Mungu hufanya haya yote kwa mwanadamu; mara mbili hata mara tatu, 30ili aigeuze nafsi yake toka shimoni, ili nuru ya uzima imwangazie. 31“Ayubu, zingatia, nisikilize mimi; nyamaza, nami nitanena.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.