Native Bible

Job 33:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Alinikomboa nafsi yangu nisitumbukie shimoni, nami nitaishi ili kuufurahia mwanga.’

Job 33:28 in English

Job 33:28 · Berean Standard Bible

He redeemed my soul from going down to the Pit, and I will live to see the light.’

Context

26Humwomba Mungu, akapata kibali kwake, huuona uso wa Mungu na kushangilia kwa furaha; Mungu humrudisha katika hali yake ya uadilifu. 27Ndipo huja mbele za watu na kusema, ‘Nilitenda dhambi na kupotosha kilichokuwa haki, lakini sikuadhibiwa kama nilivyostahili. 28Alinikomboa nafsi yangu nisitumbukie shimoni, nami nitaishi ili kuufurahia mwanga.’ 29“Mungu hufanya haya yote kwa mwanadamu; mara mbili hata mara tatu, 30ili aigeuze nafsi yake toka shimoni, ili nuru ya uzima imwangazie.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.